• Breaking News

    USHAURI, ELIMU na TIBA YA ASILI +255 767-759-137

    Saturday, 27 May 2017

    Sababu 8 watu wanene (wenye uzito mkubwa) wanakufa haraka kuliko wengine


    Karibu katika kliniki ya BURE inayoshughulika na magonjwa yasiyoambukiza. Soma makala hii mpaka mwisho utawaona baadhi ya watu waliofanikiwa kupunguza uzito wao haraka na kwa njia salama kiafya.
                    



    UZITO MKUBWA NI NINI (NI UPI)? >>>>>

    KINACHOSABABISHA UZITO MKUBWA NA KITAMBI >>>>>>>


    KWANINI WATU WENYE UZITO MKUBWA NA WANENE WAFE  MAPEMA?

    1.MAGONJWA YA MOYO NA MFUMO WA DAMU
    Uzito mkubwa kusababisha magonjwa ya mishipa ya damu ya moyo ( coronary vessels) na hivyo inaweza kuathiri utendaji kazi wa moyo.
    Na hata mishipa ya damu ya sehemu zingine za mwili inaweza kuathiriwa na mafuta ambayo yamejazana mwilini na kusababisha athari mbambali na mwisho ni kifo.
    • Mishipa ya damu ya ubongo itakapo athiriwa sehemu ya ubongo haitapata damu na mtu atapata kiharusi ( kulemaa sehemu ya mwili au mwili wote)
    • Pia kusinyaa kwa mishipa ya damu kunaongeza shinikizo la damu na hivyo kusababisha matatizo mengine katika INI na figo.

    2. KISUKARI AINA YA 2
    Hiki kinahusika na matatizo ya figo, ini na mishipa ya damu na pia mfumo wa fahamu.

    3. OSTEOARTHRITIS
    Huu ni ugonjwa ambao unahusisha kulika au kuvunjika kwa gegedu na mifupa katika eneo la viunganishi (joint). Hii kusababisha maumivu na mtu kushindwa kutembea vizuri au kukosa Uhuru wa kufanya vitu hasa kuhusisha joint za mifupa yake.

    4. SARATANI
    Tafiti zinaonesha kuwa UZITO mkubwa na kitambi vinahusika na saratani zifuatazo; ukuta wa ndani wa mji wa mimba (endometrium), matiti, utumbo mkubwa, figo, mfuko wa nyingi ( gallbladder) na ini.

    5. MATATIZO YA KUPUMUA
    ( sleep apnea)
    Hii shida ambayo inatokea mtu anapokuwa amelala. Kunakuwa na vipindi ambavyo anaacha kupumua lakini pia pumu (asthma) inaweza kujitokeza.

    6. GOUT
    Huu ni ugonjwa ambao unatokana na mlundikano wa uric asidi nyingi kwenye damu. Inapokuwa nyingi Mara nyingi hukaa kwenye jointi za mwili na hapo kuleta shida katika maeneo hayo.

    7. SHIDA YA UZAZI NA KUJIFUNGUA KWA WAJAWAZITO
    Uzito mkubwa unahusika na mattizo kama kifafa cha mimba, shinikizo la juu la damu na shida nyingine ambazo zinaleta shid kwa mjamzito na wakati mwingine kifo cha mama au/na mtoto.

    8. HEMORRHOIDS/BAWASIRI
    Huu ni ugonjwa ambao mtu anaota kinyama katika sehemu ya haja kubwa na kusababisha maumivu, kuwasha au hali ya usumbufu.


    SULUHISHO LA UZITO MKUBWA

     Watu wengi wamezoea kwamba njia ya kupunguza uzito na kitambi ni kwa kufanya mzoezi na kupunguza kula. Hata hivyo wengi hawafanikiwi. Ni kweli njia hizo hupunguza uzito lakini kabla ya kutumia njia hizo kuna kitu cha kufanya. kitu chenyewe ni kuweka msingi mzuri wa mwili kuuwezesha kufanya hivyo.

    Kwa uzoefu mtu anaweza kupunguza kuanzia kilo 3 - 9 kwa siku 9 na kilo 10- 15 kwa mwezi mmoja kwa kutumia njia hii. Ni rahisi na haihitaji mazoezi mengi.

    Ni njia inayotumia virutubisho vilivyoandaliwa kwa formula ambayo itasaidia kupambana na uzito uliokithiri. Kwa kuwa ni virutubisho kama vile vilivyopo kwenye vyakula hakuna madhara yoyote kiafya.
    • husafisha mfumo wa chakula
    • husaidia kufyonzwa kwa chakula
    • huongeza kinga ya mwili
    • huunguza mafuta kwa haraka
    • kupunguza kasi ya kuzeeka
    • husaidia mifumo ya mwili kuondoa sumu mwilini.
    • huchelewesha uzee
    • huzuia kimeng'enya kinachobadilisha sukari kuwa fati
    • inamkusanyiko wa amino asidi (protein) aina 18 pamoja na kimeng'enya ambacho huzimeng'enya hizi protein ili zote zisharabiwe mwilini. Hii huleta hali ya kutosheka na chakula lakini pia kuupatia mwili virutubisho vinavyofaa toka soya.
    • kuna nyuzi nyuzi ambazo zitaliwa katikati ya Milo ili kupunguza hamu ya kula kula kupita kiasi.

    Angalia video hii ya shuhuda za watu waliofanikiwa kwa njia hii >>>>>>







     Nakutakia afya njema,

    Yusufu Mohamed Filemon
    (Dr Nature)
      +255 767 759 137
    Email: yusuphmfilemon@gmail.com



    Share kwa wengine, wasaidie wasisumbuliwe tena na shida hii.


    ©Haki zote zimehifadhiwa.
         Dr Nature 2017




     


    Jiunge na group la whatsApp BURE ili kupata elimu ya namna ya kujikinga na magonjwa yasiyombukiza. Tuma namba yako kupitia namba hapo juu ili uunganishwe



    Virutubisho kwa ajili ya kusaidia kuboresha hali ya watu wenye kisukari na mmagomjwa ya moyo na mishipa ya damu inapatikana hapa<<<>>> wasiliana kwa simu # 0767759137

    No comments:

    Post a Comment