• Breaking News

    USHAURI, ELIMU na TIBA YA ASILI +255 767-759-137

    Tuesday, 16 May 2017

    Jinsi ya kuondoa mafuta tumboni kwa wanawake

    Wanawake wengi miaka ya karibuni wanakabiliwa na tatizo linalofanana na kitambi kwa upande wa wanaume. Hivyo ingekuwa ni wanaume tungesema ni kitambi ambalo nalo ni tatizo kubwa miongoni mwa wanaume wengi nyakati za sasa.

    Kinachowasumbuwa wanawake siyo kitambi tunasema ni mlundikano wa mafuta sehemu ya chini ya tumbo na tumbo kwa ujumla kufikia hali kuonekana kama ana tumbo kubwa au kuhisi labda ni ujauzito kumbe ni mafuta tu mengi. Hali hii imeshamiri hasa kwa mama waliojifungua  na kupoteza mwonekano wao wa kirembo lakini kikubwa zaidi wapo katika hatari ya kupata magonjwa kama kisukari, matatizo ya moyo, kiharusi (stroke), shinikizo la juu la damu  nk.

    Hapa tutaona nini kinasababisha na nini kinapaswa kufanyika na dawa ya kutibu hali hiyo.


    Nini kinasababisha?

    • Vyakula feki (Junk food)
    • Kutumia vyakula vya wanga kupita kiasi
    • Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
    • Kula chakula kizito muda mchache kabla ya kwenda kulala
    • Kukaa masaa mengi kwenye kiti
    • Kutokujishughulisha na mazoezi
    • Mfadhaiko (stress)
    •  Nafaka zilizokobolewa
    • Kula vyakula vinavyopikwa katikati ya mafuta mengi (chipsi, maandazi, nk)






    Endapo hutapa matokeo mazuri kwa kutumia njia hizo 24 hapo juu usikate tamaa bado unaweza kupata msaada wa kitabibu  kwa kutumia dawa zilizoandaliwa kwa njia za asili kutumia vyakula na matunda na ukapata matokeo haraka.

    Kwa maswali na ushauri wasiliana:
    Email: yusuphmfilemon@gmail.com
    Phone: +255 767 759 137

    No comments:

    Post a Comment