Katika video hii nimeelezea yafuatayo:
1. Mtazamo wa wanaume kuhusu maumbile yao na majibu ya matokeo ya utafiti kuhusu mawazo yao kuhusu maumbile.
2. Kile ambacho wanawake wanafikiri kuhusu maumbile ya wenzi wao kwa kutumia majibu ya utafiti.
3. Ukubwa wa kawaida wa maumbile ya mwanaume
- Namna ya kuyapika
- Vipimo vyake vikoje
4. Mahusiano kati ya ukubwa wa mwili wa mwanaume na maumbile take
5. Sababu zinazoweza kusababisha maumbile madogo.
6. NAMNA YA KUEPUKANA NA TATIZO HILI
a) Kubadili mtazamo
b) Vyakula 16 vyenye uwezo wa kuongeza maumbile yako
c) Mazoezi kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa maumbile
BOFYA HAPA KWENYE PICHA KUANGALIA VIDEO NZIMA>>>
Nature Treats Love Heals
No comments:
Post a Comment