Karibu Sana rafiki yangu, hili ni somo fupi sana lakini linalowindwa na asilimia niseme 90% ya wanaume duniani.
Kwa kutofahamu elimu hii wajasiriamali wametumia ujinga wa wanaume na kula pesa zao kwa kuwapachika midawa ya kila namna.. Mungu atusaide! Lakini tuthamini elimu.
Kila mwanaume anatakiwa kufahamu namna ya kutawala kumwaga au kutomwaga kwa wakati anaotaka. Kwa nini?
KADRI UNAVYOWEZA KUJIZUIA KUMWAGA NDIVYO SAFARI NDEFU UTAKAVYOENDA NA MWENZI WAKO.
Hata kwa wale walio athirika na punyeto nimeelezea hapa https://youtu.be/jbFnkLzUzJE itawasaidia sana kuondokana na changamoto ya baadhi ya madhara waliyopata hasa kuwahi kulipua kabla ya wakati.
Maelezo mengi huyatoa kwa njia ya video YouTube, usiache kuSUBSCRIBE kwenye channel yangu DR NATURE
Na pia kama makala kupitia naturefreeclinic.blogspot.com
Suala la kutawala mashashambulizi linatawaliwa na ubongo kama vitendo vingi vya hiari vinavyotawaliwa.
Kitu cha kufanya tu hapa ni kuufundisha ubongo ili kuupatia ujuzi wa kutawala kisuli ya nyongani ikiwemo ya maumbile kuwa na uwezo wa kutawala chochote kinachotaka kutoka.
Ili kukamilisha haya mafunzo ya ubongo unahitaka kufanya zoezi hili kila siku.
Kila unapoenda kukojoa ni AIBU kwa mwanaume mzima ambaye ana/anatarajia kuwa na mke kukojoa kama mbuzi. Yaani kukojoa moja kwa moja bila kituo mpaka mkojo unaisha.
Kila unapotaka kukojoa, kojoa kwa hatua hatua au unaweza kusema mafungu mafungu😂
Kojoa chwaap.. Tip unabana, tena chwaap.. Tip unabana hivyo kidogo kidogo unakojoa unabana unakojoa unabana mpaka mkojo wote uishe.
Unabana bila kushika kwa mikono, bana kwa kutumia misuli yenyewe ya nyongani. Mwanzoni ni ngumu lakini ukijaribu hivyo na kuendelea kila siku utafanikiwa.
Sasa kwa kuwa utakuwa unafanya hivi kila siku utakuwa na uwezo wa Kutawala vitu vinavyotoka kwa njia ya maumbile yako ikiwemo kulipua✔
Hakuna uchawi wala dawa ni hivyo tu😂😂
Mmmh hebu ngoja kwanza!
Uliiona video ya MAUMBILE MADOGO NA TIBA YAKE?
Angalia hapahttps://youtu.be/Mpf5z3VJkcEVJkcE
Nature Treats Love Heals
No comments:
Post a Comment