Kila mwenye mtoto anatamani kumwona mtoto wake akiendelea kukua na kuwa na afya njema. Zaidi tunatamani kumwona mtoto akiwa na akili na utashi mzuri kama binadamu.
Mara nyingi tumekuwa tukijikuta na ulemavu, magonjwa au uwezo mdogo kiakili hii mara nyingi ni kwa sababu ya malezi na chakula tulichopewa tulipokuwa watoto wadogo.
Video hii nimeeleza namna mtoto anavyotakiwa kuhudumiwa toka anapozaliwa ili awe na afya njema na akili nyingi.
No comments:
Post a Comment